Kusikiliza

Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya hadithi za Biblia katika Kisangu! 

Umeshawahi kusikia hadithi ya Yesu kumfufua msichana mdogo? Hadithi hii na nyingine nyingi utazipata kwenye ukurasa huu.

Furahia kusikiliza!

 

Thumbnail image